Natafuta ofisi ya kushare katikati ya mji dar

Natafuta ofisi ya kushare katikati ya mji dar

Prof Decentman

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
276
Reaction score
140
Wadau hope mu wazima wa afya, ninahitaji ofisi ya kushare katikati ya mji mfano posta na maeneo ya jirani, mnazi mmoja na maeneo yote ya jirani, along nyerere road kuanzia tazara kwenda posta. Ninachohitaji ni kuweka kiti, meza na shelf moja tu. Ninayo ofisi pembeni ya mji hivyo nahitaji staff mmoja tu ndo akae mjini. Mwenye nayo tafadhali nijulishe kwa PM au piga 0655237974, natanguliza shukrani.
 
Nenda Myfair ukawaone Mara Foundation wanapackage inayoanzia 75,000.
 
Mkuu naomba maelekezo yako kidogo, na mm natafuta kijiofis..
Ni myfair ya mikochen?

yeep, waone mara Foundation wanatoa office space. unaweza ukachek na tume ya sayansi pia ingawa wenyewe ni 350,000 full functionality.
 
Back
Top Bottom