jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 258
ungesema ww unafanya kazi gani ili iwe rahisi mtu kukusaidia na unataka maeneo gani?
Hahahah,kazi kweli,ndio maana umejipa jina la Kijapani wakati Msukumahuyo kwenye avatar ni wewe?
Unajua mdada ni rahisi kusaidiwa kama ukisema unahusika na kazi gani.Nina project nying ninazofanya, nikipata maeneo yaliyo katikat ya mji itakuwa vizur zaid ingawa hata nikipata sehem yyt iliyokaa vizur ni sawa pia.
Hahahah,kazi kweli,ndio maana umejipa jina la Kijapani wakati Msukuma
Unajua mdada ni rahisi kusaidiwa kama ukisema unahusika na kazi gani.
Maana huwezi kusema unahusika na Decoration halafu mwenzio na yeye akawa anafanya the same field.
Hapo itakuwa ni kuharibiana kazi kwa kila mmoja,mwisho wa siku mnatimuana.
Maana Offices sharing lazima watu muwe kwenye field tofauti.Sasa wewe post yako ipo bubu,yaani haisemi unahusika na nini,hata kama ni project nyingi ziainishe licha ya kwamba wenye project nyingi watu wa kushare nao wanaogopa.
Maana mtu akipiga issue anahama office mwenzie anakamatwa.
ipo jaQ nitafte 0713388226Natafuta office ya kushare kwa ajil ya kaz zangu binafsi, tafadhal kwa yeyote mwenye ofis au mwenye kumjua mtu anayeweza akanisaidia katika hili..
nahitaj sehem ndogo tu ya kuweka kit na meza kwa ajil ya kufanyia kaz zangu,ndio naanza sina uwezo mkubwa..
Kuhusu gharama na vitu vingine vinazungumzika..
Kwa mawasiliano tafadhal tuwasiliane kwa namba 0712 193159
Asante..
Natafuta office ya kushare kwa ajil ya kaz zangu binafsi, tafadhal kwa yeyote mwenye ofis au mwenye kumjua mtu anayeweza akanisaidia katika hili..
nahitaj sehem ndogo tu ya kuweka kit na meza kwa ajil ya kufanyia kaz zangu,ndio naanza sina uwezo mkubwa..
Kuhusu gharama na vitu vingine vinazungumzika..
Kwa mawasiliano tafadhal tuwasiliane kwa namba 0712 193159
Asante..