natafuta nzuri DSM maeneo ya tegeta, boko, bunju etc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta nzuri DSM maeneo ya tegeta, boko, bunju etc

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kanyagio, Jun 5, 2012.

 1. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  wanandugu, natafuta shule ya kuhamishia watoto mmoja grade 2 na wa pili ni K3 (kindergatten 3rd year).

  shule iwe ni ya english medium, wana option ya school bus, na wanafundisha maadili mema (mimi pia napata nafasi ya kukaa na watoto wangu hasa weekends). nimetafuta CANOSA lakini so far sijapata nafasi.

  Fee range 500,000-1,500,000 kwa mwaka kwa kila mwanafunzi.

  nitashukuru sana.
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Heading sikuilewa.
   
 3. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  mod hebu nisaidie ku-edit heading nilimaanisha natafuta shule nzuri dar es salaam zilizopo katika maeneo tajwa
   
Loading...