Wakuu, natafuta Nyumba ya kupanga . Iwe na Master 1 na room 1 kawaida, iwe na choo,bafu,jiko na sebule pia iwe ndani ya fens. Hata kama ni shared fens. Maji yasiwe ya shida, imwe wilaya ya Kinondoni( kini,mwananyamala,sinza,mcty,makongo,mbezi,survey au kawe).
Kama kuna mtu anaweza nisaidia just inbox me au txt 0714880007
Kama kuna mtu anaweza nisaidia just inbox me au txt 0714880007