Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

anti-negative energy

Senior Member
Joined
Apr 13, 2019
Posts
114
Reaction score
71
Wakuu habari,

Nilikua nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Africana, makongo au kigamboni vigezo🙂 iwe self contained yani chumba kimoja na choo ndani kwa ndani ii) pasiwe na msongamano wa nyumba nyingi

Gharama za malipo kwa mwezi tutaelewana baada ya kuiona nyumba

Pendekezo: ikiwa nyumba ipo na una smartphone, unaweza ipiga picha ukanirushia kwenye namba hii 0712668152 ya whatsapp. au unaweza nipigia tukaongea
 
HAUJASEMA IDADI YA VYUMBA
 
Weka budget yko watu wachakalike,andaa na one month ya dalali.
 
Back
Top Bottom