jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,293
15 whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaatKama hujapata, nitafute nikuunganishe na nyumba ya vyumba vitatu, kodi TSh 350k/mwezi, kilemba TSh 15M
Sent using Jamii Forums mobile app
15 whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaatKama hujapata, nitafute nikuunganishe na nyumba ya vyumba vitatu, kodi TSh 350k/mwezi, kilemba TSh 15M
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama hujasoma uchumi, utakuwa punguani utoe 15M Km kilemba uache kwenda kununua kiwanja cha 8M kule Kigamboni!!Kama hujapata, nitafute nikuunganishe na nyumba ya vyumba vitatu, kodi TSh 350k/mwezi, kilemba TSh 15M
Sent using Jamii Forums mobile app
15 whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat
Siyo lazima kujibu kama hamna ufahamu na jambo. Mnashangaa 15M wakati watu wanalipa 40M na zaidi.Hata kama hujasoma uchumi, utakuwa punguani utoe 15M Km kilemba uache kwenda kununua kiwanja cha 8M kule Kigamboni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo kuna nyumba apartment ina vyumba vitatu viwili mater,public toilet,jiko ,store,AC,umeme unajitegemea,maji,parking kubwa,gym :Natafuta nyumba ya NHC maeneo ya Upanga au posta mwenye uwelewa na hatua za kufata ili uweze kupata anijuze Tafadhali na bei pia ni shilingapi kupanga.
Kipo single room Mikocheni kingine MsasaniNATAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA MOROCCO, MSASANI, NAMANGA AU MIKOCHENI KWA 70,000/= Mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi kummiliki mama Samia kuliko kupata hiyo nyumba
AseeNi rahisi kummiliki mama Samia kuliko kupata hiyo nyumba
Ni rahisi kummiliki mama Samia kuliko kupata hiyo nyumba
Fuku na fuku emu ona sasa umefukua makaburi ya 2019 ~2020.Acha masihara
Fuku na fuku emu ona sasa umefukua makaburi ya 2019 ~2020.
leo hii ni Honourable Excellency President of the Republic government.
Niko hapa Baba D kama afisa............
Mama D katika ubora wako
Inamaana kwa sasa hamna wanaohamishianakwa kilemba embu nijuzeSiyo lazima kujibu kama hamna ufahamu na jambo. Mnashangaa 15M wakati watu wanalipa 40M na zaidi.
Hamjui umuhimu wa hizo nyumba hasa kwa mtu mwenye dili zake town.
Mtu akinyang'anywa hiyo nyumba analia kama mtoto mdogo
Kwani ayenunua apartment mjini 200M, hajui kuna kiwanja cha 8M
Sema hizo nyumba kwa sasa hazihamishiki kwa kilemba baada ya serikali kupiga marufuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilemba ndo niniKama hujapata, nitafute nikuunganishe na nyumba ya vyumba vitatu, kodi TSh 350k/mwezi, kilemba TSh 15M
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mikoani wanafnya hivyo na bei za mikoni naona ni 25,000/ kwa mwezi na ni nyumba yenye Vyumba vitatu jiko na sebulewajenge flats na watoze say 100,000 kwa say vyumba viwili na sebule jiko na stoo. Halafu wawe na mfuko wa kuchangia kama pspf wale wanachama anapochangia laki mbili moja yao na moja inaingia kwenye mfuko.
Ni ushauri japo unaweza kuwa mbovu but observed this in Astana