House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga ya NHC maeneo ya upanga au posta

15 whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat
Hata kama hujasoma uchumi, utakuwa punguani utoe 15M Km kilemba uache kwenda kununua kiwanja cha 8M kule Kigamboni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo lazima kujibu kama hamna ufahamu na jambo. Mnashangaa 15M wakati watu wanalipa 40M na zaidi.
Hamjui umuhimu wa hizo nyumba hasa kwa mtu mwenye dili zake town.
Mtu akinyang'anywa hiyo nyumba analia kama mtoto mdogo
Kwani ayenunua apartment mjini 200M, hajui kuna kiwanja cha 8M
Sema hizo nyumba kwa sasa hazihamishiki kwa kilemba baada ya serikali kupiga marufuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta nyumba ya NHC maeneo ya Upanga au posta mwenye uwelewa na hatua za kufata ili uweze kupata anijuze Tafadhali na bei pia ni shilingapi kupanga.
Njoo kuna nyumba apartment ina vyumba vitatu viwili mater,public toilet,jiko ,store,AC,umeme unajitegemea,maji,parking kubwa,gym :
Kodi 600,000/= location Mikocheni
 
Siyo lazima kujibu kama hamna ufahamu na jambo. Mnashangaa 15M wakati watu wanalipa 40M na zaidi.
Hamjui umuhimu wa hizo nyumba hasa kwa mtu mwenye dili zake town.
Mtu akinyang'anywa hiyo nyumba analia kama mtoto mdogo
Kwani ayenunua apartment mjini 200M, hajui kuna kiwanja cha 8M
Sema hizo nyumba kwa sasa hazihamishiki kwa kilemba baada ya serikali kupiga marufuku

Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana kwa sasa hamna wanaohamishianakwa kilemba embu nijuze
 
Kuna muhindi aliniambia ili atoke inabid mtu ampe 20mil, haya mambo ndio yanafanya iwe ngumu kupata hizi nyumba
 
wajenge flats na watoze say 100,000 kwa say vyumba viwili na sebule jiko na stoo. Halafu wawe na mfuko wa kuchangia kama pspf wale wanachama anapochangia laki mbili moja yao na moja inaingia kwenye mfuko.

Ni ushauri japo unaweza kuwa mbovu but observed this in Astana
Kwa mikoani wanafnya hivyo na bei za mikoni naona ni 25,000/ kwa mwezi na ni nyumba yenye Vyumba vitatu jiko na sebule
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom