Natafuta nyumba ya kupanga mwanza

Ndigwa

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
210
59
Mwenye nayo tafadhali, gharama reasonable, na sehemu ya usalama. Ikiwa na uzio itakuwa vizuri.
 
Mkuu andika vizuri idadi ya vyumba unavyotaka na location ya nyumba ikiwezekana na bajeti yako itapendeza
 
Mkuu andika vizuri idadi ya vyumba unavyotaka na location ya nyumba ikiwezekana na bajeti yako itapendeza
Me nahitaji yenye vyumba 3 iwe ya kujitegemea kila kitu na iwe na fence maeneo ya Nyegezi, Mkolan na Buhongwa. Ikipatika kwa maeneo hayo naomba kujulishwa bajet yangu 2800000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom