Natafuta Nyumba ya kupanga Mbezi beach,kijitonyama,Makumbusho au sinza karibu na bamaga

GreenHouse

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
280
262
Natafuta Nyumba ya kupanga ya vyumba vitatu Mbezi beach maeneo kati tangi bovu mpaka samaki,kijitonyama,Makumbusho au sinza karibu na bamaga. rent kuanzia laki 3 mpaka 4.5

iwe na maji,umeme,master bedroom, public toilet na iwe katika hali nzuri sana. Nahitaji iwe na uzio pamoja na sehemu ya kupaki magari mawili. iwe kama dakika 5 kutoka barabarani.
 
Kwa nini ukae nyumba mbaya wakati unalipia hela yako mwenyewe....
Tena ongeza masharti
1. Isiwe karibu na bar
2. Kodi isipande kwa miaka mi3
3.... endelea ...

Na mm nakupa mashart ya nyumba yangu, 1.kama hujaoa,marufuku kuingiza vimada,hii sio gesti,2.unalipa capitation fee ya nyumba in case ukichubua rang etc,
 
Natafuta Nyumba ya kupanga ya vyumba vitatu Mbezi beach maeneo kati tangi bovu mpaka samaki,kijitonyama,Makumbusho au sinza karibu na bamaga. rent kuanzia laki 3 mpaka 4.5

iwe na maji,umeme,master bedroom, public toilet na iwe katika hali nzuri sana. Nahitaji iwe na uzio pamoja na sehemu ya kupaki magari mawili. iwe kama dakika 5 kutoka barabarani.

Ndugu mamaNa, nyumba mbezi beach bila 1m/-, sahau. Kwa bei hio jaribu kidogo utoke nje ya mji, kama tegeta, boko, na hata bunju.
Kijitonyama labda unaweza kupata, sio maeneo yangu, ila ntashangaa sana.

Kila la kheri
 
Mimi ninayo maeno ya Tankibovu sh 1.5m nataka kodi ya miaka miwili ya TSH 36,000,000/= HAKUNA KUONGEA KESHI UNAPATA UFUNGUO HATA LEO.Karibu sana Mbeazi Beach...
 
Halafu hawa wajinga wanapandisha kodi ya sigara na bia tuuuu...hawaoni hizi pesa za majumba watoze kodi serikali ipate pesa wanakalia kuomba omba...ama kweli bora masikini wa mali sio akili...
 
Kodi tulishalipia kwenye VAT wewe|Sasa tulipe kodi ya nini?Wakati najenga kila kitu niliipia VAT kwa hiyo siwezi kulipa tena.Alafu nalipia nalipia ardhi kila mwakwa au hauji hilo?SEMA hizo pesa zinaishia kwa wajanja wachache.
 
Natafuta Nyumba ya kupanga ya vyumba vitatu Mbezi beach maeneo kati tangi bovu mpaka samaki,kijitonyama,Makumbusho au sinza karibu na bamaga. rent kuanzia laki 3 mpaka 4.5

iwe na maji,umeme,master bedroom, public toilet na iwe katika hali nzuri sana. Nahitaji iwe na uzio pamoja na sehemu ya kupaki magari mawili. iwe kama dakika 5 kutoka barabarani.

Ipo Sinza kwa Remmy lakini karibu na ina Bar bei laki 6 kwa mwezi.
 
Kwa hiyo bei utapata ila utachukua muda lakini kama ungekuwa na 1m and above angalau si unaijua mijengo ya mbezi, lakini kwa tsh laki 4.5 komaa na sinza ushahilini mvua ikinyesha vinyesi mpaka mlongoni, unazungukwa na kelele kulala saa sita usiku, kwa kijitonyama utapata ili karibu na kwa ali maua, lakini mkuu hizo bei kwa sasa ni za maeneo ya nje ya mji ie mvuti, maji matittu, mbande, mbezi shamba, mpigi majoe, madale, mivumoni, nzasa, sala sala, kinzudi, kwa diwani etc.
 
Mimi ninayo maeno ya Tankibovu sh 1.5m nataka kodi ya miaka miwili ya TSH 36,000,000/= HAKUNA KUONGEA KESHI UNAPATA UFUNGUO HATA LEO.Karibu sana Mbeazi Beach...

Ukipata mpangaji akalipa hela hizo. Mkishasign mkataba na ukampa funguo Mpige Kibao kikali sana, halaf mwambie siku nyingine akajenge yake...tena ikibidi muitie Takukuru... Atueleze kapata wapi hela za kuchezea namna hiyo.
 
Natafuta Nyumba ya kupanga ya vyumba vitatu Mbezi beach maeneo kati tangi bovu mpaka samaki,kijitonyama,Makumbusho au sinza karibu na bamaga. rent kuanzia laki 3 mpaka 4.5

iwe na maji,umeme,master bedroom, public toilet na iwe katika hali nzuri sana. Nahitaji iwe na uzio pamoja na sehemu ya kupaki magari mawili. iwe kama dakika 5 kutoka barabarani.

vipi umeshapata, maeneo unayoyataka utapata nyumba laki 4.5 bado ni hela nyingi kwani hata huko mbezi kuna nyumba za kifahari na za kawaida ila jaribu kusogea kidogo maeneo ya samaki, jogoo, goig, african na Lesoth. Utapata kwani kuna namfahamu ana nyumba kama unayotaka analipa tshs laki nne.
 
bado, ntajaribu kusogea huko nione.asante kwa ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom