Natafuta nyumba ya kupanga 'KINYEREZI'!!!!!

Natafuta nyumba ya kupanga 'KINYEREZI'!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
946
Wakuu nina ndugu yangu anaulizia nyumba maeneo ya Kinyerezi na atakua tayari kulipia na kuhamia mwezi ujao wa june.

Nimeamua kuweka bandiko hapa maana ndio sehemu sahihi la ndugu yangu huyo kupata suruhu ya kinachomkabili.

Napenda kujua gharama za nyumba ya aina hii ili nimpe taarifa:

1.Iwe ni single family house.
2.Iwe na 4bedrooms+master.
3.Kitchen
4.Store.
5.Maji.
6.Fenced house.
7.Sitting & dining.
8.Office/sturdy room.
9.parking
10.Big space kwa ajiri ya watoto kucheza.
11.Gym,na kama haina gym anataka iwe na eneo la kutosha ili ajenge gym mwenyewe.
12.Huduma ya Maji 24hrs.
13.Umeme luku.

Kwa mwenye kua na nyumba ya aina hii au anawajua madalali wa maeneo husika ani PM kisha ntamuunganisha na muhitaji.
Ikibidi tupieni na tupicha lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom