Natafuta nyumba ya kupanga Dar

Kama unaweza kuishi Bahari Beach nip-m tuzungumze, kuna nyumba safi sana karibu na Budget resort, mi ndo naipanga kwa sasa ila nitahamia kwny nyumba yangu mwezi wa sita. Mwenye nyumba amenipa ruhusa kumtafuta mpangaji pindi nikihama. Naweza kukutumia picha za nyumba ilivyo hata kwa ndani, ni very executive na bei yake si kubwa sana. tuwasiliane kwa e mail mcmac812000@yahoo.com

Thanks
 
Mangi I forgot to say it is 2000USD/month. You will have hot/cold water 24/7-powered by solar and the house has got solar electricty and an automatic standby generator.The Living room is Air conditioned.

You need hot shower in Dar these days?
 
Du Shukuru! Hiyo ya Temeke napata shaka kidogo, naambiwa na jamaa wanaokaa huko kwamba yataka moyo sana kuishi temeke kwa sababu ya matatizo kama vile usafiri, security yako na mali zako especially usiku, bugudha za majirani wa kiswahili (jamaa ananiambia mtaani waliweka tuta kubwa ilimradi jamaa asipite na kicorolla chake cha mkopo sababu eti wanazuia mafuriko).

Na sasa hivi jamaa wa Tmk wanahasira benki yao (DECI) imekufa na hatima ya bengu zao haijajulikana bado!

Ofcourse hata mimi nilihisi hivyo mwanzoni kwani nilikuwa nakaa Survey Mwenge...na nilikuwa siipendi temeke... ila kwa sasa Temeke kuna maeneo yapo bomba na si kama unavyodhani..kaa ukijua kuwa Temeke si Tandika Mkuu ila kama unapendelea ulabu ndio inabidi ukome maana walabu wake waoote ni wavuta bangi..so lazima waweke hayo matuta umbali kadhaa kutoka kwenye ulabu... usafiri ni bomba kupita maelezo maana ile foleni ya mbezi beach ilinifanya niache kodi yangu ya miezi miwlili kwa fazahouse wangu kabla sijaja huku TMK....na sikukaa hata siku moja huko mbezi.
 
Next Level -are you serious I can get a plot in Uswazi for 2000USD or u mean the really Southern Uswazi?

Haswa mkuu, ukitulia maeneo ya kule Mbagala maji matitu, Chalambe au kule Kifuru mbele kidogo ya Kinyerezi au ukipandisha kule Tabata kisukuru, unaweza bahatisha mkuu!
 
Let's know your budget before we help you out

Mkuu, kazi hiyo kuifanyia kutoka Park Slope au Crown Heights au kule kwa walala hoi Brownsville, si itakuwa tabu. Au unataka KumDECI? Maana wajanja wa Carnase si tabu kuwakuta Nostrand Street au Utica kwa akina Yellow man.
 
Kama unaweza kuishi Bahari Beach nip-m tuzungumze, kuna nyumba safi sana karibu na Budget resort, mi ndo naipanga kwa sasa ila nitahamia kwny nyumba yangu mwezi wa sita. Mwenye nyumba amenipa ruhusa kumtafuta mpangaji pindi nikihama. Naweza kukutumia picha za nyumba ilivyo hata kwa ndani, ni very executive na bei yake si kubwa sana. tuwasiliane kwa e mail mcmac812000@yahoo.com

Thanks

Mkuu, kwa Mchuno nini!!
 
Nakusihi hili zoezi usitishe kwanza maana dar kwa sasa si sehem nzuri ya kuishi....kuna mabom....yale ni ya mbagala effect hadi mwenge.... afu fikiri kule lugalo...ukonga...navy(kigamboni).....sabasaba.....
 
Mkuu, kazi hiyo kuifanyia kutoka Park Slope au Crown Heights au kule kwa walala hoi Brownsville, si itakuwa tabu. Au unataka KumDECI? Maana wajanja wa Carnase si tabu kuwakuta Nostrand Street au Utica kwa akina Yellow man.

Park Slope washavamia hipsters, European immigrants and Manhattanite wannabees, kwa hiyo wabongo-Brooklyn itabidi watoke ma Eastern Parkway and its vicinity kwenda kuvamia Upanga and its vicinity.

Hata kama wanatoka East New York!
 
Haha ahaha aaaa

Itabiti tuwapeleke Jamaica Queens. Maana watashi wa Manhattan wameshavamia Park Slope yote, itabiti wachukue train number 6, 5, au 4 waelekee THE BRONX.
 
Kama unaweza kuishi Bahari Beach nip-m tuzungumze, kuna nyumba safi sana karibu na Budget resort, mi ndo naipanga kwa sasa ila nitahamia kwny nyumba yangu mwezi wa sita. Mwenye nyumba amenipa ruhusa kumtafuta mpangaji pindi nikihama. Naweza kukutumia picha za nyumba ilivyo hata kwa ndani, ni very executive na bei yake si kubwa sana. tuwasiliane kwa e mail mcmac812000@yahoo.com

Thanks

hizi ndio tabia za ki TZ nisizozipenda, eti "wasiliana na mimi tuongee".
si uweke bei kama anaiweza atakutafuta au ndio unataka uwanze kumuuliza wewe ni nani kabla ya kutaja bei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom