Xidian
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 503
- 149
Heshima kwenu wadau wa JF,
Naomba kwa watu walio Arusha nahitaji kupata nyumba ya kupanga haraka sana,
tafadhali kama kuna affordable apartment itakuwa ni chaguo la kwanza, kama bei ni aghali basi
naomba nyumba za kawaida tu.
Tafadhali mwenye taarifa au kumjua mtu yeyote aliye na nyumba basi asisite kuwasiliana na mimi.
Natanguliza shukrni.