Natafuta Nyumba Ya kupanga Arusha

Natafuta Nyumba Ya kupanga Arusha

kedekede

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
5,337
Reaction score
7,755
Za leo Wandugu
Poleni na kukosa hela za bia weekend nzima mkaula wa chuya.Natafuta nyumba yenye vigezo hivi
1.vyumba viwili vya kulala
2.Jiko
3.Sebule
4.Maliwato
5.Iwe karibu na Barabara
6.Isiwe mbali na mji
7 Budget laki mbili(200,000)
 
Kwa bajeti hiyo na vigezo vyako,labda utapata kwa Mrombo,otherwise uwe una share na mtu hiyo nyumba!

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
mwisho laki 2 na nusu
 
Kwa bei yako hiyo... Utakaa mwaka ukitafuta nyumba.... Labda kwa Mrombo au kijenge juu..
 
Kuna wengine wanapenda bure! Lini upo tayari kuona nyumba? Ikiwezekana nipe number yako PM.

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
sitaki bure nakupm namba unitumie picha,uniambie na mtaa ilipo nyumba
 
Nyumba zipo Sakina kwa Idd,moja unahitaji laki tatu na nyingine laki tatu na nusu.Nimezingatia vigezo vyako.DALALI hana simu yenye camera,kwa hiyo hadi uende kuona mwenyewe if interested!

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
sina haraka ili nipate kizuri
Arusha nyumba zipo nyiingi sana, tena nzr saaaana na maeneo mazuri... Zipo nyumba Moshono, zipo nyumba Njiro.... Lakini 2.5 hutopata nyumba nzr za ukubwa huo ulousema wewe.. Nyumba utapata, lakini sio nzr.... Ipo ya Choo cha nje mwanama, kwa bei hiyo...
 
vyumba viwili
 
Za leo Wandugu
Poleni na kukosa hela za bia weekend nzima mkaula wa chuya.Natafuta nyumba yenye vigezo hivi
1.vyumba viwili vya kulala
2.Jiko
3.Sebule
4.Maliwato
5.Iwe karibu na Barabara
6.Isiwe mbali na mji
7 Budget laki mbili(200,000)
Arusha sehemu gani Mkuu ?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom