Natafuta nyumba ya Arumeru

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
508
968
Ndugu zangu wa www.jamiiforums.com

Nimepata uhamisho, kuelekea Arumeru. Ofisi yangu ipo mitaa ya Leganga

Natafuta nyumba, mwenye access na nyumba ya kupangisha ktk mitaa ya Leganga, mjimwema, maji ya Chai, Usa River na maeneo jirani ambayo sikuyataja naomba anijulishe kwa msg kupitia 0788468826
 
Back
Top Bottom