Natafuta nyumba ya 150,000/= isiwe mbali na vingunguti

elimuplatform

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,054
462
Wadau hata ikiwa kwa laki mbili siyo mbaya muhimu isiwe vidala dala viwili kwenda vingunguti secondary school
 
Unaweza kuishi Kiwalani? Kazini kwako utakuwa unaenda kwa miguu wakati wa kurudi kama umechoka unapanda kihiace sh 300. Kama uko interested nijurishe nikuunganishe na dalali, hiyo ni ya laki mbili.
 
Ipoje ndugu ebu nipe dondoo
 
jaman..mi natafuta chumba maeneo ya gomz..bajet 25,30-35... mwenye namba hata dalali anipee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom