Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 890 Reaction score 3,091 Mar 20, 2024 #1 Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha
Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,703 Reaction score 97,516 Mar 20, 2024 #2 Umeeleza juu juu sana. Kipofu alikua msanii au uyo mdada wa jirani? Unakumbuka wimbo ulitamba mwaka gani?
Umeeleza juu juu sana. Kipofu alikua msanii au uyo mdada wa jirani? Unakumbuka wimbo ulitamba mwaka gani?
Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 890 Reaction score 3,091 Mar 20, 2024 Thread starter #3 Mad Max said: Umeeleza juu juu sana. Kipofu alikua msanii au uyo mdada wa jirani? Unakumbuka wimbo ulitamba mwaka gani? Click to expand... Msanii ni wa kiume na nadhani ulitamba kuanzia 2000 kuja juu
Mad Max said: Umeeleza juu juu sana. Kipofu alikua msanii au uyo mdada wa jirani? Unakumbuka wimbo ulitamba mwaka gani? Click to expand... Msanii ni wa kiume na nadhani ulitamba kuanzia 2000 kuja juu
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,709 Mar 20, 2024 #4 Niko Zengekala?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,703 Reaction score 97,516 Mar 20, 2024 #5 Mamndenyi said: Niko Zengekala? Click to expand... Mzee wa Solemba na mtoto Jacky πππ
mpenda pombe JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 1,410 Reaction score 722 Mar 20, 2024 #6 LA7 said: Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha Click to expand... View: https://youtu.be/FPV1RYR7JNs?si=Pug3r_zAZ7LuEIu8
LA7 said: Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha Click to expand... View: https://youtu.be/FPV1RYR7JNs?si=Pug3r_zAZ7LuEIu8
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,278 Reaction score 20,900 Mar 20, 2024 #7 Nini kimegusa kwenye huo wimbo ndugu mtoa taarifa
Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 890 Reaction score 3,091 Mar 20, 2024 Thread starter #8 Mad Max said: Mzee wa Solemba na mtoto Jacky πππ Click to expand... Siyo mkuu
Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 890 Reaction score 3,091 Mar 20, 2024 Thread starter #9 EvilSpirit said: Nini kimegusa kwenye huo wimbo ndugu mtoa taarifa Click to expand... Ni nyimbo nzuri sana nimetamani kuisikiliza ila shida ndo jina
EvilSpirit said: Nini kimegusa kwenye huo wimbo ndugu mtoa taarifa Click to expand... Ni nyimbo nzuri sana nimetamani kuisikiliza ila shida ndo jina
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,703 Reaction score 97,516 Mar 20, 2024 #10 LA7 said: Ni nyimbo nzuri sana nimetamani kuisikiliza ila shida ndo jina Click to expand... Vionjo kidogo
LA7 said: Ni nyimbo nzuri sana nimetamani kuisikiliza ila shida ndo jina Click to expand... Vionjo kidogo
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,703 Reaction score 97,516 Mar 20, 2024 #11 mpenda pombe said: View: https://youtu.be/FPV1RYR7JNs?si=Pug3r_zAZ7LuEIu8 Click to expand... LA7