Habari wana jamvi. Natafuta nyimbo za mwanamziki Caz T aka mwana wa komba. Ki ukweli nimezimiss sana hizo nyimbo. Yeyote mwenye taarifa mahali zinapatikana tafadhari anisaidie. Naomba ukijibu unitag ama unikoti.