Natafuta nyimbo inayoitwa malaika

Joined
Aug 19, 2017
Posts
28
Reaction score
27
Habalini wana jamvi kuna nyimbo inaitwa malaika. Ameimba mwanamke na mwanaume anaitikia. Acha alio imba maliamu mukeba je ni msanii gani alio imba na pia naomben link ya iyo nyimboo
 
Kuna ile ya malaika wa kuzima mitandao, ndio unautaka?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…