Breaking bad JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,464 Reaction score 3,495 May 30, 2020 #1 Jamani mwenye nyimbo hizo anisaidie nilizisikia maeneo ya NJOMBE. Nimetafuta kila web hata Youtube hakuna. Amekufunga inaanza hivi "Kwa nini ufie dhambini, wakati neema ipo, Yesu katoa msamaha kwa wote wenye dhambi. Shukran wakuu.
Jamani mwenye nyimbo hizo anisaidie nilizisikia maeneo ya NJOMBE. Nimetafuta kila web hata Youtube hakuna. Amekufunga inaanza hivi "Kwa nini ufie dhambini, wakati neema ipo, Yesu katoa msamaha kwa wote wenye dhambi. Shukran wakuu.