Natafuta Nissan Patrol/Safari kwa bajeti ya 8M

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,510
40,589
Natafuta gari ndogo aina ya nissan iwe patrol au safari, ikiwa short chassis yenye muonekano mzuri itakuwa vizuri zaidi; iwe inatembea, rangi ikiwa nyeusi/kijivu ni bora zaidi na iwe imepanda juu juu. Bajeti yangu ni 8M fixed, kama ipo tuwasiliane ndani ya siku hizi 5.
 
Back
Top Bottom