Natafuta Nintendo na Sega Vintage

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,791
2,000
Wadau habari,
Natafuta console za Video Game za zamani zinazotumia Cartridge kama vilr Nintendo 64, Sega Genesis au Sega Mega Drive 2. Hata kama una Game Boy Nintendo njoo PM tafadhali tuongee biasharaaaa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom