Natafuta / Nataka Kampani !!!

Kwa upande wa ke walau awe anaanzia 30 yrs maana najua umri huo wengi ni waelewa na wako vizuri. Pia kuna mengi ya ku-share kama. Ujasiriamali, kazi, biasharasha, maisha na n.k.
mmmmmh! haya naona sijafika vigezo. kila la heri.
 
Kweli hi party ya wakubwa, vp una mume??

Mume ninae Daud. Afu kama na wewe ungekuwa na mke ingependeza zaidi na ndo maana nimechagua umri huo maana najua wengi lazima watakuwa wameoa au kuolewa. Karibu tu usiogope.
 
Mume ninae Daud. Afu kama na wewe ungekuwa na mke ingependeza zaidi na ndo maana nimechagua umri huo maana najua wengi lazima watakuwa wameoa au kuolewa. Karibu tu usiogope.

Tuko pamoja wala usiwe na wasi wasi nitakaribia
 
Acha maswali mengi wewe,kama huna vigezo kaa pembeni utuache wenye umri wetu uliofika semester ya mwisho tujinafasi!!!

Mhhhh! Ahya mkubwa nimekuskia, ngoja nitulie zangu tulii..
 
Unless ni Mjane anayetafuta faraja, Mwanaume wa umri huo atakayekubali kuandamana na wewe ni True definition ya Mtu mwenye mambo ya Kihuni huni.
Ni aidha atakuwa hajaoa.. Jiulize Mwanaume 38Yrs anasubiri nini hajaoa?
Au kama ameoa basi kitendo cha kumuacha mkewe nyumbani ili akae na wewe ndiyo uhuni wenyewe huo.
Hebu punguza miaka Bana tukupege Kampani, Na nina nondo kibao naweza kukupa hata zikakutoa kimaisha..
 
sio lazima mwenye kuwa na mke kuongozana na mkewe kila sehemu; kuna sehemu nyingine huwa tunaachiana nafasi; wife anaenda zake na me anaenda zake ili mradi heshima iwepo tu.
 
sio lazima mwenye kuwa na mke kuongozana na mkewe kila sehemu; kuna sehemu nyingine huwa tunaachiana nafasi; wife anaenda zake na me anaenda zake ili mradi heshima iwepo tu.

Kweli??!!!
Tena kipindi hiki cha Sikukuu??!!!
 
Ningekuwa mjane ningesema natafuta mwanaume, na ndo maana nimesema me na ke na tena wenye familia maana tutaunganisha famili pamoja. Na ni wengi tu wanafanya hivyo mimi naonaga na huwa tunafanyaga hivyo na ndio maana nimependa kuwakaribisha na humu jf MMU kama mtu akipenda na sio lazima pia. ila karibu sana.
 
Sasa vipi kuhusu kupunguza miaka ili angalau na sisi tuweze kupata maujuzi ya kikubwa?
 
Sasa vipi kuhusu kupunguza miaka ili angalau na sisi tuweze kupata maujuzi ya kikubwa?

Vigezo na masharti kuzingatiwa. Kama vigezo hamna basi maana siwezi rudisha miaka nyuma mkuu. au labda una mingapi wewe na uwe na familia yaani mke ndo muhimu.
 
Mmmh! Hivi humu mmu hamna vijana wa kike under 25 years?

Sasa sisi vijana wa kiume tuishije humu? Company za watu wazima noma!!
 
Hivi ulifanikiwa kujifunza gari wakti ule? naona hadi leo hujanipa mrejesho atiii

Afu shemeji unajua nini wewe nisamehe tu bure nilijisahau kukupa mrejesho. Nilishajifunza nilienda veta ila bado natembelea lena soon taweka pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…