Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 374
- 472
Call me J
Asante mkuu kwa wazo lako shukuraniMagari yote hayo yanayoenda Kolomije haujayaona umtumie barua?Anyway,cheki na mbunge wa Kawe atakupa mawasiliano ya Bashite(Askofu Gwajima)!
Nahene loloo!š¤Asante mkuu kwa wazo lako shukurani
Lazima useme una shida nayo gani ili usaidiwe. Sio kusema tu alimradi kusema.Wakuu poleni na kazi.
Naombeni yeyote mwenye mawasiliano yani namba za makonda naomba anisaidie naimani kupitia yeye changamoto yangu itaisha pia kama MTU anajua nitampataje please naomba anisaidie.
Kama pia yupo hapa jf please nitafulahi akinitafuta pm.naimani kupitia yeye nitapata msaada.
Asanteni sana ndugu zangu muwe na maisha mema
Kwahiyo bado hajasema vizuri b�Lazima useme una shida nayo gani ili usaidiwe. Sio kusema tu alimradi kusema.
Ova
Piga hata usiku wa manane: 0767 150 400Wakuu poleni na kazi.
Naombeni yeyote mwenye mawasiliano yani namba za makonda naomba anisaidie naimani kupitia yeye changamoto yangu itaisha pia kama MTU anajua nitampataje please naomba anisaidie.
Kama pia yupo hapa JF please nitafurahi akinitafuta pm.naimani kupitia yeye nitapata msaada.
Asanteni sana ndugu zangu muwe na maisha mema
Umepatiwa sasa mpigie, nadhani hivi karibuni atatoa msimamo wa chama kuhusiana na ripoti ya CAG.Piga hata usiku wa manane: 0767 150 400
Hii niya ALBERT CHALAMILAPiga hata usiku wa manane: 0767 150 400
Hiyo namba aliyo patiwa sio ya MakondaUmepatiwa sasa mpigie, nadhani hivi karibuni atatoa msimamo wa chama kuhusiana na ripoti ya CAG.
Pia moja ya kazi za uenezi ni kuongeza wanachama hai, asimamie mchakato wa kadi za kiditali tunaziitaji na watanzania wanaziitaji, "kadi hai zitasaidia chama kufahamu wanachama hai" na ndio kura sahihi.
Ukimpigia mwambie unaomba namba ya Makonda P Bashite Daudi Albert atakupaHii niya ALBERT CHALAMILA
Naye huko kwenye twitter alishasema amekwisha watambua marafiki wa kweli na waongo!, in short amefundishika ipasavyo!Makonda kawa mchalo, anatafutwa siku hizi, mama ni mtu mwenye huruma.
Kapata fundisho tayari.Naye huko kwenye twitter alishasema amekwisha watambua marafiki wa kweli na waongo!, in short amefundishika ipasavyo!