Natafuta nafasi ya kujitolea information technology

Gamba Manoni

Member
Mar 24, 2011
50
73
Tafadhali guyz natafuta nafasi ya kujitolea katika fani ya information technology ili kukuza kipaji katika fani, level yangu ya fani ni diploma . Tafadhali kama yeyote atakuwa tayari tuwasiliane kupitia 0682260333
 
GONGA HAPA MKUU:

http://www.freelancers.net/projects.html

JIUNGE NA HUO MTANDAO UKIWA SHARP UTAPIGA PROJECTS NYINGI TU NA KULIPWA US$, WANALIPA KWA PAYPAL.

WABONGO HATA KAZI ZA KUJITOLEA KUPATA NI ISHU, KAMA HUAMINI ANGALIA WANACHUO WANAOTAFUTA SEHEMU ZA FIELDS WANAVYOPATA TABU KUTAFUTA JAPO HAWALIPWI.
 
Tafadhali guyz natafuta nafasi ya kujitolea katika fani ya information technology ili kukuza kipaji katika fani, level yangu ya fani ni diploma . Tafadhali kama yeyote atakuwa tayari tuwasiliane kupitia 0682260333

Mdogo wangu jaribu kujiajiri kazi hazilipi.
 
hakuna mtu anataka kujiajili kama mimi ila sasa fani yangu ni DJ sijui nianzie wapi?
 
Ahsante kwa shauri zenu! Mie nimefikiria kitu, kwamba kama ajira hamna basi kwa fani yangu nimeamua nisajiri kampuni yangu binafsi ya mfukoni pale brela kwa sh 6000 nikiwa na maana ya kuanza kutafuta tenda katika makampuni binafsi na ya kiserikali. Nadhani ntafanikiwa, so kama kuna wenzangu wa namna hii basi nadhani hii ndo njia.
 
Unaweza kufundisha :Computer Applications : Kama Office Applications , Graphics Application , Accounting Package : Web Designing : Kama unaweza send me an sms
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom