Natafuta Nafasi ya Kuigiza katika Filamu au kushiriki katika Matangazo.

natamgaya

Member
Nov 23, 2017
12
1
Natafuta nafasi ya kuigiza katika filamu au kushiriki katika matangazo ya runinga. Mimi ni kijana wa miaka 27, wa kiume. Nipo tayari kushirikiana na yeyote atakayehitaji kushirikiana nami. Ahsanteni.
 
Attachments

  • FB_IMG_1510595954209.jpg
    FB_IMG_1510595954209.jpg
    15.4 KB · Views: 52
Natafuta nafasi ya kuigiza katika filamu au kushiriki katika matangazo ya runinga. Mimi ni kijana wa miaka 27, wa kiume. Nipo tayari kushirikiana na yeyote atakayehitaji kushirikiana nami. Ahsanteni.
kwanini ?
kwanini utafte na usitafutwe?
pambana kwanza dogo weye
 
Back
Top Bottom