Natafuta Nafasi ya kazi

Natafuta Nafasi ya kazi

Decruise

Member
Joined
Oct 31, 2024
Posts
20
Reaction score
37

Shikamooni wakubwa zangu, habari za kazi pia vijana wenzangu. kwa jina naitwa meshack ni muhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji Dar es Salaam. natafuta kibarua au kazi kabisa.

Elimu yangu ni degree ya usafirishaji na logistiki kwa ujumla naweza nikafanya kazi kama afisa usafirishaji yaani (transport officer).

Pia naweza kua fleet manager. pamoja na clearing and forwarding manager kwenye warehouse
nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa sasa nipo Dar es salaam.(0748971306)
 
Humu ndani watu kwa kuvimba wako vizuri,

Ila nashangaa mpaka muda huu matajiri hawatokei!

Na thread imepostiwa tokea jana hii! ina maana hamuioni au?

Ndo muje muonyeshe uboss wenu mtu anataka ajira uku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom