Natafuta nafasi ya kazi ya Ualimu

Natafuta nafasi ya kazi ya Ualimu

JOESKY

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
823
Reaction score
2,044
Habari za majukumu wana JF education?

Naamini katika mafanikio ya kila mtu kuna mtu nyuma yake hata kama mafanikio yako yalikuja bila kusaidiwa na mtu naamini umewahi kusaidia mtu.

Humu ndani kuna wamiliki wa shule, maheadmaster, headteachers, managers, HRs nk.

Naomba msaada wa kutimiza ndoto yangu ya kuwa mwalimu. Nina shahada ya elimu BAed, nipo Mbeya jiji ninaomba connection zenu ndugu zangu nipate kuitumia hii taaluma yangu.

Naomba hata nafasi ya ku-volunteer katika shule za private muhimu kupewa hata pesa ya nauli tu ili nijenge expirience.

Niko Mbeya mjini; naomba mje PM kwa maelezo ya ziada.

Ahsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom