Natafuta nafasi na sehemu pa kuvolunteer kazi field ya ICT

raia_mwema

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
479
313
nimehitimu degree katika field ya ICT mwaka 2011, Baada ya kutuma application zisizopungua 80 pasipo mafanikio naomba kwa mwenye msaada kwani natafuta ofisi ambapo nitavolunteer kazi za ICT kwa mkoa dar es salaam......
 
kati ya hizo umeitwa interview ngapi?
 
Tanesco nilishawahi peleka pale hawakujibu

Hata mimi Tanesco nilishawahi kupeleka maombi ya kuomba internship ya ICT pale tena kwenye ofisi husika kabisa inayohusiana na mambo ya Training na nikajieleza vizuri wakanielewa, walinizungusha kama wiki 3 hivi na mwishoni nikaja kuambiwa barua yangu haionekani. Wakasema ni draft nyengine, basi nikafanya hivyo then kesho yake nikapeleka, cha ajabu sasa nilipofika kwenye ofisi ileile wakaniambia sasa hivi tumesitisha kupokea maombi ya internship.......................sasa nikabaki njia panda na kujiuliza maswali mengi sana, hivi kweli wamesitisha officially au labda wamesitisha baada ya kuniona mimi. hapo ndugu ndio nikaanza kuona dunia kama vile inaanza kunitenga
 
nimehitimu degree katika field ya ICT mwaka 2011, Baada ya kutuma application zisizopungua 80 pasipo mafanikio naomba kwa mwenye msaada kwani natafuta ofisi ambapo nitavolunteer kazi za ICT kwa mkoa dar es salaam......[/QUOTE

fanya kazi ya kufagia barabara ni kazi nzuri kwa ma volunteer
 
kama huna la kuongea ni bora tuh uende home ukacheze kidalimpooo na dem wako au buzi lako kuliko kukejeli wenzio wanapoomba msaada
 
nimehitimu degree katika field ya ICT mwaka 2011, Baada ya kutuma application zisizopungua 80 pasipo mafanikio naomba kwa mwenye msaada kwani natafuta ofisi ambapo nitavolunteer kazi za ICT kwa mkoa dar es salaam......[/QUOTE

fanya kazi ya kufagia barabara ni kazi nzuri kwa ma volunteer

Sasa hapo ndo umetoa msaada au umeponda????....acha ulimbukeni ww...mtu anapoomba msaada km hutak/hujui nyamaza...hapa tupo kusaidiana/kushauriana.....:lol:
 
duuuuuuuh watu wengine sijui kama wanautashi wa kufikiria thats why muda mwingi wamekaa kukejeli kejeli!
Lakini ili jamii ikamilike lazima tuwe na watu tofauti tofauti kama vile wendawazimu, wakatili, wema ect..
so waungana naomba msikwazike saana kwa jibu la huyo hapo juu anayejiita Yaya Toure ila wakati wake ukifika atajirekebisha mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom