reasonate real
Member
- Mar 5, 2014
- 10
- 0
kila mtu ana haki ya Kupenda na kupendwa
natafuta binti wa kuoa umri miaka kati ya 16-20,mkristo(muumini wa kanisa llte la kiroho)kabila llte,awe tayari kwa ndoa na kupima vvu
kila mtu ana haki ya Kupenda na kupendwa
Mmmh hupati kwa mtindo huu wa uandish andika kitu cha kueleweka...
Kupata mke kazi
hata non living things have the right to be loved...!
dont measure...
je kuna ubaya gani mtu kutafuta mchamba kupitia mtandaoni?naombeni majibu yenu wadau
je kuna ubaya gani mtu kutafuta mchamba kupitia mtandaoni?naombeni majibu yenu wadau
Miaka 16?
Miaka 16 hata manyoya bado hayajamea vyema mtoto huyu ndiyo unataka awe mke wako?
Wewe ni mbakaji bana!