M mkubwa wa habari Member Joined Jun 8, 2023 Posts 25 Reaction score 37 Jan 19, 2024 Thread starter #21 Msanii said: Unatafuta wa kuchakatana naye au wa kumchakata au wa kukuchakata? Imebidi niulize kisanii uweze kujibu Click to expand... hapana mkuu, mimi natafuta Mke, mambo ya kuchatana nimeachia vijana
Msanii said: Unatafuta wa kuchakatana naye au wa kumchakata au wa kukuchakata? Imebidi niulize kisanii uweze kujibu Click to expand... hapana mkuu, mimi natafuta Mke, mambo ya kuchatana nimeachia vijana
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,946 Reaction score 38,658 Jan 19, 2024 #22 mkubwa wa habari said: hapana mkuu, mimi natafuta Mke, mambo ya kuchatana nimeachia vijana Click to expand... Kwa hiyo ukipata mke utakuwa unamuweka kwenye album na hautamchakata? Mungu akujaalie ombi la nafsi yako
mkubwa wa habari said: hapana mkuu, mimi natafuta Mke, mambo ya kuchatana nimeachia vijana Click to expand... Kwa hiyo ukipata mke utakuwa unamuweka kwenye album na hautamchakata? Mungu akujaalie ombi la nafsi yako
M mkubwa wa habari Member Joined Jun 8, 2023 Posts 25 Reaction score 37 Jan 19, 2024 Thread starter #23 Red black said: Sio akili ya biashara ni elimu ya biashara. Click to expand... sawa kiongozi nimekupata
Red black said: Sio akili ya biashara ni elimu ya biashara. Click to expand... sawa kiongozi nimekupata
M mkubwa wa habari Member Joined Jun 8, 2023 Posts 25 Reaction score 37 Jan 19, 2024 Thread starter #24 Msanii said: Kwa hiyo ukipata mke utakuwa unamuweka kwenye album na hautamchakata? Mungu akujaalie ombi la nafsi yako Click to expand... hayo yatakua mambo ya ndani ya ndoa kiongozi
Msanii said: Kwa hiyo ukipata mke utakuwa unamuweka kwenye album na hautamchakata? Mungu akujaalie ombi la nafsi yako Click to expand... hayo yatakua mambo ya ndani ya ndoa kiongozi
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 21,854 Reaction score 27,025 Jan 19, 2024 #25 Red black said: Sio akili ya biashara ni elimu ya biashara. Click to expand... Elimu haileti akili, akili ndiyo inaleta elimu.
Red black said: Sio akili ya biashara ni elimu ya biashara. Click to expand... Elimu haileti akili, akili ndiyo inaleta elimu.
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,946 Reaction score 38,658 Jan 19, 2024 #26 mkubwa wa habari said: hayo yatakua mambo ya ndani ya ndoa kiongozi Click to expand... Kila laheri boss
mkubwa wa habari said: hayo yatakua mambo ya ndani ya ndoa kiongozi Click to expand... Kila laheri boss
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 11,924 Reaction score 36,842 Jan 19, 2024 #27 Kadhi Mkuu 1 said: Elimu haileti akili, akili ndiyo inaleta elimu. Click to expand... Wrong ❎
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,850 Reaction score 37,557 Jan 19, 2024 #28 Missy Gf said: Nasikia wamasai mna kifagio kile kinananiii Au basi...ni vile tu sina akili ya biashara ningekuja pm 🤣 Tayana-wog njoo ujinyakulie masai huku Click to expand... Mweee mwaka huu umeanza vzr Acha niendelee kusubiri atatokea mwenye vigezo vyangu🤣😜 Hapa Sina vigezo miss
Missy Gf said: Nasikia wamasai mna kifagio kile kinananiii Au basi...ni vile tu sina akili ya biashara ningekuja pm 🤣 Tayana-wog njoo ujinyakulie masai huku Click to expand... Mweee mwaka huu umeanza vzr Acha niendelee kusubiri atatokea mwenye vigezo vyangu🤣😜 Hapa Sina vigezo miss
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,374 Reaction score 88,589 Jan 19, 2024 #29 Yeroooo rafiki...Kila la kheri.
MgosiMnubi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2022 Posts 1,159 Reaction score 1,844 Jan 19, 2024 #30 Mungu akakupe hitaji la moyo wako Kila la kheri mkubwa wa habari
K kipumbwi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 3,196 Reaction score 9,200 Jan 19, 2024 #31 Hujataja jinsia sijui una maana gani,nipo hapa naitwa kipumbwi ibn Mandingo Kitombangile.
M mkubwa wa habari Member Joined Jun 8, 2023 Posts 25 Reaction score 37 Jan 19, 2024 Thread starter #32 King Kong III said: Yeroooo rafiki...Kila la kheri. Click to expand... Shukran Rafiki
M mkubwa wa habari Member Joined Jun 8, 2023 Posts 25 Reaction score 37 Jan 19, 2024 Thread starter #33 MgosiMnubi said: Mungu akakupe hitaji la moyo wako Kila la kheri mkubwa wa habari Click to expand... shukran mkuu
MgosiMnubi said: Mungu akakupe hitaji la moyo wako Kila la kheri mkubwa wa habari Click to expand... shukran mkuu
Ms eyes JF-Expert Member Joined Feb 4, 2023 Posts 4,773 Reaction score 11,976 Jan 19, 2024 #34 Missy Gf said: Nasikia wamasai mna kifagio kile kinananiii Au basi...ni vile tu sina akili ya biashara ningekuja pm 🤣 Tayana-wog njoo ujinyakulie masai huku Click to expand... Kidogo niku tag😂😂😂
Missy Gf said: Nasikia wamasai mna kifagio kile kinananiii Au basi...ni vile tu sina akili ya biashara ningekuja pm 🤣 Tayana-wog njoo ujinyakulie masai huku Click to expand... Kidogo niku tag😂😂😂
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Jan 24, 2024 #35 Kila La Kheri Mkuu