PamojaDingi nimekizaa ww au ?
Hayo mambo hayajaishaga tuuSiyo mambo ya kwichikwichi, nakutaka central!
kama una nia ya kweli..Mungu atakupa!tena alie mwema kabisa na ukamfurahia.Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu.
-Mimi ni kijana wa kiume, mwajiriwa private sector, sijawahi oa wala kuwa na mtoto, umefika mda nimeamua niwe na mwenza atakayekuja kuwa mke baadaye.
Vigezo;
1.Awe mucha Mungu na dini yoyote
2.Umri kuanzia miaka 20 hadi 26
3.Rangi mweusi, mnene wastani na urefu wa wastani
4.Awe tayari kuishi mkoa wowote
5.Awe mkweli na awe seriously na mahusiano maana sitaki kupotezeana mda
NB.Awe tayari kwenda kupima H.I.V kabla ya yote.
Ambaye yupo karibu Pm
Hahaaa kaanzishe Uzi alafu uulize hilo swali!! Mm kwasasa sina cha kukujibuha!ha!ha mvuto ndio nini??