Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
msinishangae. Nina miaka 33, single, msomi, digri ya engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima hawe na umbo na sura ya kuvutia, napenda hips na maziwa makubwa. Lazimwa awe msafi. Sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye mume, au boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....mwenyewe utapenda
simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo dar. muheza1982@hotmail.com
Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digri ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima hawe na humbo na Sura ya kuvutia, Napenda Hips na Maziwa makubwa. Lazimwa hawe msafi. sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye Mume, au Boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....Mwenyewe utapenda
sina, mke, mtoto wala drama, kwa hiyo usilete drama... ukiwa na mtoto mmoja poa. ila isije ikawa kuna drama nyuma yake. kwa maana nitachomoka yanikinizidi kimo
Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com
Eti ana gari, na kazi ya maana! Anapenda maziwa makubwa! Ya kichina je? This guy is an amateur! Itakubidi uishie jolly club kama si ambiance/corner baryani ulivyona majigambo lol
ndio maana hujapata mke na kwa stail hiyo mmh utazeeka
badilika na punguza mashauzi utapata
yan umepinda mgongo kuandika upupu kama huo lol
eti sio changu sidhani kama kuna changu anaejua JF...
Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digri ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima hawe na umbo na Sura ya kuvutia, Napenda Hips na Maziwa makubwa. Lazimwa awe msafi. sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye Mume, au Boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....Mwenyewe utapenda
sina, mke, mtoto wala drama, kwa hiyo usilete drama... ukiwa na mtoto mmoja poa. ila isije ikawa kuna drama nyuma yake. kwa maana nitachomoka yanikinizidi kimo
Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com
na kweli he is too choosy.....ila hicho kipengele cha maziwa kimeniacha hoi,kasisitiza yawe makubwa........vitu kama hivi kama ndio unavyoangalia kwa mke then unapotea,maziwa in the future atapata watoto atanyonyesha yatasinyaa/anguka utamuacha au?lol:ballchain:
Nina mashaka na jinsi unavyotongoza yawezekana huwa unapoteza time sana kwa kujimwagia sifa!
Komaa kwenye foleni ujaribu zali lako,uckate tamaa unaweza ukajikuta unaokota pochi lenye hela:lol::lol::lol:mwe:washing:foleni kubwa sana.....
una miaka mingapi vile?