Natafuta mwenza wa kiume

178 alafu mnene!!! Sipati picha huyo mtu mwingi uyo so mnakurhpuka tu
 
Mm nafikir naweza kua na wewe maana mwenyewe ni mpweke,ila mkitafutwa mnazingua ila nitafute nipoo dar
 
Wewe umepima au mashauzi tu?
Kupima nini sasa. wewe kama una stress za kukosa chuo😉😉, pita hivi. na kama una wasiwasi na afya yako mi sina. Ambao watakuwa na uhitaji kama mimi watanifuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…