Natafuta mwenza wa kiume

Ni pm
 
sijui kwanini sipati nitafutie basi?

Tatizo wewe hututaki sisi wabeba zege. Haya nitumie Criteria zako then 'niingie kazini' upate kitu roho inapenda. Andaa kabisa commission yangu for ground cost and communication. Fastaaa unaveshwa shera ng'ari ng'ari .

-Kaveli-
 
nipo kama huyu mwenye post isipokuwa tu sina mtoto
 
Tatizo wewe hututaki sisi wabeba zege. Haya nitumie Criteria zako then 'niingie kazini' upate kitu roho inapenda. Andaa kabisa commission yangu for ground cost and communication. Fastaaa unaveshwa shera ng'ari ng'ari .

-Kaveli-
mbeba zege gani nilimkataa mkuu? halafu msinisingizie bna
 
hahahaa mkuu, sisi serengeti-boy sijuwi tutafaidi lini aisee. Tunatengwa sana na wadada watamu kama huyu mleta uzi.

-Kaveli-
Yote maisha buana
Ngoja waje wafiwe na wazee ktk visimi ndio watakuja kutukumbuka

N:B Taifa lolote linajengwa na vijana
 
umri kitu gani bana mbona diamond pale amechukua mama yke mdogo na life linasonga bana we nipe kibali niijenge ndoa iliyokufa ktka mazingira yakutatanisha
 
Dooh! Kuna mambo mengi ya kujifunza kila uchwao, mwajei kaweka vigezo vyake watu mnakuja kuanza kumfukulia makaburi, jamani kama her stipulated terms & conditions are not your cup of tea katishia vile leave her and her search kaanza zamani kutafuta huna la kumsaidia basi mwacheni, yatakuja kuwakuta mabinti zenu nanyi haya maneno mnayomtamkia mwanadamu mwenzenu.. Mwajei keep searching dadangu utampata tu a matching guy atakayekusaidia kulea mwanao mathalani naye anaeza kuja na mtoto wake basi ukamsaidia nawe kumkuza katika malezi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…