Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo.
Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na mabanda ya kuku na nguruwe.
Lkn km mnavyojua biashara yeyote inataka mtaji bila mtaji hakuna kitu nimekopa Bank kwa kutumia msharaha wangu nikanunua eneo tajwa kwa takiribani 15,000,000/= nimejenga hayo mabanda na nyumba ndogo ya kukaa kijana
Kwasasa nina fuga nguruwe na kuku lkn natafuta mtu au Shirika linaloweza nikopesha ht milioni 10 kwaajili ya kulisha mifugo yangu
Ambayo naamini baada ya miezi minne nitakuwa nimenenepesha mifugo nimeuza ndipo nalipa mkopo wangu pamoja na riba
Zingatia sio naanzisha biashara nimeshaanza nina gari ndogo na eneo lkn pia namifugo u
Ishu nipesa ya kulishia Dhamana yangu ni 1. Gari ndogo
2. Shamba langu
3. Mifugo yangu.
4. Mshahara wangu.
Kumbuka bank sikopesheki kwani nilikopa kwaajili ya kununua eneo
Na kujenga miundombinu.
Kwanini nimeomba kusaidiwa mawazo naamini kuna watu humu wanazo pesa za kutosha tunaweza kushea au kukopeshwa wakawa wanakula faida tu
Kwa mwenye pesa au anafahamu wapi naweza pata mkopo wa kulipa baada ya miezi minne anisaidie ili niendelee kupambana
Maomba mawazo na Maoni
Wako katika kazi
Teacher gari ndogo huwa inakuaje?
Kwenye loan risk assesment wewe risks zako zinasoma juu sana.
Ushauri wangu uza baadhi ya mifugo upate hela ya kulisha mingine
Ile kauli jamaa anatembea kwa miguu sijui kauza gari? Hii kauli hufanya watu wenye gari afe na tatizo serious sana lakini gari lisiuzwe kuepukana na watu kumuona hana gari.Uza gari. Why stress!
Sanasana mademu kama hawajatulipa tunaweka hema hapo hPo Julia neno hemaHongera sana kama mtumishi unapambana lakini mimi siwezi kumkopesha Mwafrika mwenzangu sisi ni watu wa ajabu sana. Mwafrika ukimkopesha ndiyo imekula kwako.
Ticha kajichanganya!! Kazama mazima kwenye mfumo!!Teacher gari ndogo huwa inakuaje?
Kwenye loan risk assesment wewe risks zako zinasoma juu sana.
Ushauri wangu uza baadhi ya mifugo upate hela ya kulisha mingine
Asante bosiKama unaweza pamabana mwenyewe taratibu, endelea hivyo hivyo, Jipange, usitamani kujua sana
Mkuu sio kwamba siwezi kulisha niko na hii biashara miaka sita sasa na inaendelea kuomba mkopo au ubia sio kwamba nimeshindwa wafanyabiashara wote wapo hivyo sio kwamba wameshindwa isipokuwa wanataka kuongeza faida zaidi. Narudia tena SIJASHINDWA lengo ni kuongeza uzalishaji na faida.Teacher gari ndogo huwa inakuaje?
Kwenye loan risk assesment wewe risks zako zinasoma juu sana.
Ushauri wangu uza baadhi ya mifugo upate hela ya kulisha mingine
Na huu ni aina ya Mkopo alipaswa kuuomba.Bank kuna mikopo ya wakulima na wafugaji nadhani kila rejesho ni baada ya miezi sita.
Unakosea bosi kuomba mkopo sio kosa au kushindwa kuendesha biashara lengo ni kuongeza uzalishaji ili kutosheleza soka la nyama badili mtazamo maana umeandika kwa mbwembwe kweliTicha kajichanganya!! Kazama mazima kwenye mfumo!!
πππ
Alikuwa over ambitious wakati anaanza na hakutaka ushauri!! Sasa project imemkabia juu anarudi JF kuomba aokolewe kwenye mzamo!!
πππ
Cha msingi aangalie kipi kinauzika sasa hivi ili hiyo hela aitumie kujikwamua!!
Dah Ticha aisee!!!
πππ