Natafuta mwanaume wa kunioa

Mkiwa kwenye prime yenu muwe mnakumbuka muda wenu wa kutamba kwenye dating pool ni mfupi sana
 
Kama upo serious njoo DM Kuna Ndugu yangu anaweza kuwa sahihi kwako.
 
Ok
 
Aaah nikajua utakubali uwe mshangazi kwangu 🤦🤦
 
Huko PM sasa..

Me- Mambo Mdada..

Mdada- Safi

Me - Nimeona unatafuta Mtu wa kuishi nae nadhani nipo tayali..

Mdada- Upo wapi na Unajishughulisha na nini?

Me- Nipo Dar najishughulisha na biashara..

Mdada- Biashara gani?

Aise huko PM ni kama Police tu..
 
Kwema dada
 

Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…