Kapfo mkyeku !Habari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
Kila la kheri mrembo. Unafanya biashara gani exactly?Habari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
π umemaliza mkuuKuna wapuuzi watahoji ujana ule na wengine, uzee unataka ule na nani?
Ungesema tu awe anaishi dar. Kinyume na hapo itakua ngumu sanaMakazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi