Natafuta Mwanaume mwenye VVU

Dine

Member
Apr 19, 2012
57
6
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33 ninaishi na VVU natafuta mwenza ambaye naye ana VVU umri 33 had 40 mm ni mwajiriwa katika kampuni moja tafadhal nipo serious mimi natumia dawa na nipo na afya njema huwezi nijua naomba kwa aliye serious anitafute kwa pm na awe mkristo maana mimi ni mkristo.
 
Ukiweka na picha yako itasaidia wengine kujitokeza.
 
Hongera kwa ujasiri Mungu atakusaidia na utapata mwenza
 

sorry for what you have,, Bt i recomend usiweke picha for privacy issue,, kuna watu humu jf wanaweza wakawa friends and family..so utakuwa umejiexpose..

Really iam sorry... those medicines,, they are hard,, arent easy...
 

Ubaguzi huo...kuwa na VVU si sababu ya kujitenga kimahusiano na wasiokuwa na VVU. Kupenda ni kupenda tu, uwe au usiwe na VVU, zipo discordant couples nyingi tu na wanapendana kwa dhati!
 
Ubaguzi huo...kuwa na VVU si sababu ya kujitenga kimahusiano na wasiokuwa na VVU. Kupenda ni kupenda tu, uwe au usiwe na VVU, zipo discordant couples nyingi tu na wanapendana kwa dhati!

Sasa yeye amemtaka mwenye VVU huwezi mlazimisha!ndio chaguo lake!
 

Unaishi wapi?mie sina vvu.ila ni pm tuongee nipo tayali kuish na mwenye vvu .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…