Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

mimi hapa...tena umekuja wakati muafaka.....twende zetu PM hapa wanga wengi...
 
  • Thanks
Reactions: C.K
Naitwa Janeth mpaka kufikia kuandika hapa nimechoshwa na mapenzi ya usaliti kwa wanaume.sasa natafuta mwenye mapenzi na kujenga maisha

Fanya hivi0784087614 nitakupenda kwa dhati
 
janeth kwanza pole kwa kumuumizwa mara nyingi kwenye mapenzi sasa naomba unitafute kwa 0755-255087 nataka kuongea na wewe vizuri.
 
hakunaga mwanaume mwenye mapenzi ya dhati already.....mapenzi ya dhati yana jengwa au yanakuwa invoked from someone.....baada ya urafiki na kufahamiana na kushibana....wewe tafuta a boyfriend uanze step one
Na misimamo yao kuhusu pesa ndio inaondowa kabisa apetite ya kuwapenda kwa dhati.
 
janeth kwanza pole kwa kumuumizwa mara nyingi kwenye mapenzi sasa naomba unitafute kwa 0755-255087 nataka kuongea na wewe vizuri.

.......unataka kuongea naye vizuri!¡!!?? Wewe ni mshauri nasaha!!! Au
 
hakunaga mwanaume mwenye mapenzi ya dhati already.....mapenzi ya dhati yana jengwa au yanakuwa invoked from someone.....baada ya urafiki na kufahamiana na kushibana....wewe tafuta a boyfriend uanze step one

Anataka kupendwa kwa dhati wakati yeye hapendeki kwa dhati!!

Wabongo tunapenda sana templates,ready made kazi yetu kufanya customization kidogo
 
Define mapenzi ya kweli......

kuna tafsiri nyingi sana katika hilo nitaweka ambazo ni common bila kujali jinsia na utaona kuwa kuna vitu haviwezekani
-kufanyiwa kazi zote za ndani ikiwemo kuogeshwa na hata kulishwa
- kupewa pesa kila anapohitaji
-kupewa zawadi na city vya gharama kila wakati
-kutochungwa wala kufuatiliwa kwenye mambo mengi
-kutojihusisha na mitandao ya kijamii
kuwa na marafiki na jamaa wa jinsia yake tuu
- kutolewa outings dinner nk
-Kuonewa wivu wa kinafiki
-kutopigiwa simu na jinsia pinzani wala msg
-kuwahi kurudi nyumbani nk nk nk
 
Yaani ukisoma hii thread tayari unaona huyu dada yuko frustrated,, na kwa kawaida wanaume wa sasa wako frustrated na maisha,, so wanahitaji mwanamke mwenye furaha atakaye pambana nae bega kwa bega katika kusaka maisha bora,, na sio pasua kichwa.... kwanza niseme ukweli inawezekana wapi wanaume wote hao wawe wabaya n then u opt kuwapata wazuri JF,, nani amekudanganya JF kuna wanaume wa maaana,,, humu ni kama kapu kuna samaki wazima na walio ooza tena wenye kuoza ndo wana maneno matamu... humu dada utagongwa tu na wata tambaa.... rudi kwa Mola acha UZINZI
 
janeth kwanza pole kwa kumuumizwa mara nyingi kwenye mapenzi sasa naomba unitafute kwa 0755-255087 nataka kuongea na wewe vizuri.

Haruna mdogo wangu acha kumdanganya msichana wa watu,,, ww muislam yeye Janeth.. kuna future kweli hapo au unataka kugonga tu
 
Haruna mdogo wangu acha kumdanganya msichana wa watu,,, ww muislam yeye Janeth.. kuna future kweli hapo au unataka kugonga tu

Hapa naomba nitofautiane nawe kama wakipendana hakuna kitakachowazuia mapenzi hayana kabila wala dini
 
Hapa naomba nitofautiane nawe kama wakipendana hakuna kitakachowazuia mapenzi hayana kabila wala dini

nilipo kuwa kijana wimbo huu niliimbiwa sana na marafiki zangu,, '' mapenzi hayana dini'' ukweli ni kwamba mnapokuwa mnaanza kweli hakuna dini,, ila mnapotaka ku advance ili muishi pamoja ,, muunganishe familia ,, muoane ndo swala la dini linaingia hapo.... hapo ndo utajua kumbe baba na mama wapo... wengi huwa ignore hili then wanajuta baadae,,, wengi huushia kufunga ndoa za serekari wakasuswa makanisani na misikitini... shida unapozeeka na kutaka kumjua Mungu hapo ndo shida inapokuja ,, mke muislam wewe mkiristu... watoto wamegawanyika wengine wamemfuta mama wengine baba, inaluwa hujua nyumba umlete mchungaji au sheikh... it is indeed confusion,.... yote ya nini wakati kuna wa dini yako??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom