Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Nashukuru Mungu nmempata kupitia hapa hapa....namuombea anipende kwa dhat na mm ntampenda pia
Kheee umeshapata? Hongera mama ili kuwa makini
Nashukuru Mungu nmempata kupitia hapa hapa....namuombea anipende kwa dhat na mm ntampenda pia
Nashukuru Mungu nmempata kupitia hapa hapa....namuombea anipende kwa dhat na mm ntampenda pia
Nashukuru wote mlionisema na kunipa moyo.Mungu amenipatia naamin atakuwa sahihi kwangu
Ni Mimi tu Dunia mzima
Mimi.Hapa.Nipo. Kwasababu.Zifuatazo.
1.Sijawah kuingia.Kwny.Swala.Hl!La.Mapenz.Kwhyo.Naahd.Ntakulinda.Na.Kukuthamini.
2.Ni.Mcha.Mungu
3.Situmii.Pombe.Wala.Sigara.
4.Ni.Mtanzania.Halisi.Sio.Msomali.
5.
Duh!nimechelewa😕Nashukuru Mungu nmempata kupitia hapa hapa....namuombea anipende kwa dhat na mm ntampenda pia
Naitwa Janeth mpaka kufikia kuandika hapa nimechoshwa na mapenzi ya usaliti kwa wanaume.sasa natafuta mwenye mapenzi na kujenga maisha