Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

It is true, but needs courage, pure love and well understanding partner (the negative partner)! Hasa ikiwa huyo HIV negative partner ndiye sole initiator wa hiyo relationship na msingi wa hiyo relationship sio material things but pure love, intimacy and soul mates! Otherwise ni ngumu sana.
Na asiye mwathirika hana haja ya kuwa am bia ndugu na jamaa juu ya afya ya mwenzake
 
Kila la kheri faithhope , jf kuna mambo kweli yaani wale wa 'njoo pm/ni pm fasta' siwaoni.

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Nlianza mahusiano na mtu tukapima tulikuwa safe three year to come visa na vituko kila siku kisa kipya na mwanamke mpya nikaamua kuachana nae na kupima,ndio nikakutana na majibu haya,funzo ni kwamba ukeshe ukiomba maana waweza tulia mwenza wako akauleta

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu sorry upo mkoa gani
 
Watu hawaelewi tu kuwa mwathirika anaoa/kuolewa na asieathirika na wanazaa watoto wazima na maisha yanasonga
Maisha ya ndoa siyo kuzaa watoto tu, kuna issue ya lifespan, matunzo na kuenjoy sex bila mipaka hivyo bora ajitafutie wanayefanana na pia kuna unyanyapaa muulize km kapata pm nyingi km vile ambapo wengine wanapata.
 
Hizi issue zinaniumiza sana

Nimejitunza mpaka kumaliza masomo yangu

Tena nimevumilia sana mpaka natimiza miaka28 sikuwahi kuhivyo hivyo afu nampata MTU anasema kama unachosema mtoa mada

Afu ndo hivyo najikuta nimempenda kabla hajamaliza kuongea

Anaendelea kunisisitiza atakuwa mwema kuliko wanawake wote

Huku akionyesha tabasamu LA ndani kabisa kwenye chemba ya moyo na Roho

mtoa mada pengne uzuri wako ukawa ni zaidi ya kasoro ulizo nazo

Ila mm Niko tayari but sitakuwa na amani

Born to die
Come with me
Liwalo na liwe



Don't mind me
 
Mtoa mada, mi swali langu ni ulipataje hivyo virusi?

Nia si kukudhihaki, ila huenda sisi tusiofit vigezo tukapata na cha kujifunza. Ila tu, kama ukijisikia huru kushare nasi. Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mentor umenikumbusha thread yako Fulani hivi ilileta taharuki humu jamvini.
Siku hazigandi.......
 
Nlianza mahusiano na mtu tukapima tulikuwa safe three year to come visa na vituko kila siku kisa kipya na mwanamke mpya nikaamua kuachana nae na kupima,ndio nikakutana na majibu haya,funzo ni kwamba ukeshe ukiomba maana waweza tulia mwenza wako akauleta

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh, aisee . Pole sana dear. I'm speechless now.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom