Natafuta mwanaume mgane

Masharti yako nmeyatimiza nami kabla sijaja inbox kwako wee ni mweupe? Kama sio basi kila la kheri
 

asante niko makini sana wababaishaji watayeyuka automatically
 
Nipo tayari ila cna mtoto na nimeumizwa sana kama uko tayari kuwa na mimi ila uwe tayari kucheki afya
 
maujinga ujinga ndo mavitu gani?weka clear please,

tabia za mtu kama bado ndo anakua(kijana) awe anajua namna &tayari kujenga familia bora sio bora liende kila siku ana jipya lakushangaza lisilokuwa na tija
 
Ungekua huna mtoto ningekupm. Au labda ba mtt wako bado yuko hai?
 
Hakutaka kutaja umri wake kamili.Ndiyo maana hata mwanaume pia ameweka interval ya umri.Itoshe tu kumwelewa.Mwenye vigezo aende akale fungate
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…