Natafuta mwanaume ambae ataniamini.

Natafuta mwanaume,ambae ataniamini,natafuta mwanaume ambae atakuwa hana mashaka na mimi ambaye atakuwa anaamini mimi ni mwanamke mkweli kwake yeye,mawasiliano yangu haya hapa mwadisai@gmail.com nitajibu email tena kwa haraka

You can't request to be trusted. Kama mtu hakujui atakuaminije moja kwa moja? Huwezi kumwambia mtu akuamini kama matendo yako ni yenye kuleta mashaka. Na ikiwa matendo yako yamekaa transparent itakua rahisi kwa watu kukuamini. It is not something you ask, it is something you deserve.
 
JF inahitaji mental health professionals na ukumbi wa ushauri nasaha naona.
Tuna wataalam wengi sana wa mambo ya mapenzi humu, tutaanza online consultations with unemployed councelors kama zile za kwenye cheap magazines. hahaha
 
Natafuta mwanaume,ambae ataniamini,natafuta mwanaume ambae atakuwa hana mashaka na mimi ambaye atakuwa anaamini mimi ni mwanamke mkweli kwake yeye,mawasiliano yangu haya hapa mwadisai@gmail.com nitajibu email tena kwa haraka

Actions speak louder than words baby! kutanguliza kujihami ni sababu tosha ya mtu kuingiwa na mashaka!!
 
Siku zote hujaaminiwa? Kuna walakini, ama umehamia huku baada ya kuharibu ulikokuwa? Unalazimisha kuaminiwa
 
Punguza spidi, hutaaminika hata hapa. Kila lakheri katika kumsaka.
 
hahaaa i gues ww ni profesor wa saikolojia, so unataka ukipampata umfanye cartoon, coz utakapokuwa unafanya kosa na endapo atahoji, ww utamuuliza HUNIAMINI? atakujb nakuamini...hapo kwishney na unaendelea mbele kukosea makusudi.
 
Mbona suala la kuaminiwa umelisisitiza sana?

Yaani kuliko hata kupendwa. Au una tatizo kwenye mambo ya uaminifu?
 
Mi ni moja Kati ya waliopigwa chini, Niko kwenye kipindi hewa, karibu tuungane ili tuaminiane!
 
Natafuta mwanaume,ambae ataniamini,natafuta mwanaume ambae atakuwa hana mashaka na mimi ambaye atakuwa anaamini mimi ni mwanamke mkweli kwake yeye,mawasiliano yangu haya hapa mwadisai@gmail.com nitajibu email tena kwa haraka

ni pm kwanza ndo tulianzishe
 
Natafuta mwanaume,ambae ataniamini,natafuta mwanaume ambae atakuwa hana mashaka na mimi ambaye atakuwa anaamini mimi ni mwanamke mkweli kwake yeye,mawasiliano yangu haya hapa mwadisai@gmail.com nitajibu email tena kwa haraka
Je kwa waliooa nao wana nafasi kama watakwamini? na ambao hawatakuwa na shaka na wewe?
 
Natafuta mwanaume,ambae ataniamini,natafuta mwanaume ambae atakuwa hana mashaka na mimi ambaye atakuwa anaamini mimi ni mwanamke mkweli kwake yeye,mawasiliano yangu haya hapa mwadisai@gmail.com nitajibu email tena kwa haraka

Mwanaidi Saidi?
 
mpenzi kama kweli unataka mwanaume wa kukuamini basi umenipata. lakini tukiwa wote utulie ili nikuamini kiukweli kweli. mwenyewe nipo kwenye process za kutafuta mke. kama wewe ni mwaminifu kweli anza kunonyesha kwa kuniemail kupitia figganigga@jamiiforums.com. mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom