Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Sep 3, 2024 #1 Habari WanaJF, Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu. Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii. Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga. Natanguliza shukurani zangu za dhati. Jiwa Hassan
Habari WanaJF, Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu. Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii. Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga. Natanguliza shukurani zangu za dhati. Jiwa Hassan
third eye chakra JF-Expert Member Joined Dec 27, 2023 Posts 919 Reaction score 2,155 Sep 3, 2024 #2 Pole sana kweli unaelekea pabaya sipati picha ukisahau kuvaa nanguo itakuaje! Ok mkuu nakutakia kila rakheli.
Pole sana kweli unaelekea pabaya sipati picha ukisahau kuvaa nanguo itakuaje! Ok mkuu nakutakia kila rakheli.
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Sep 4, 2024 Thread starter #4 we are the inner said: Pole sana kweli unaelekea pabaya sipati picha ukisahau kuvaa nanguo itakuaje! Ok mkuu nakutakia kila rakheli. Click to expand... ๐hapana tusiombe nifike huko maana sitajisamehe kabisa
we are the inner said: Pole sana kweli unaelekea pabaya sipati picha ukisahau kuvaa nanguo itakuaje! Ok mkuu nakutakia kila rakheli. Click to expand... ๐hapana tusiombe nifike huko maana sitajisamehe kabisa
E EMACHA JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 956 Reaction score 1,780 Sep 4, 2024 #5 Angalia, usije kusahau kama unatafuta mwanasaikolojia!
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,772 Reaction score 86,458 Sep 4, 2024 #7 Leejay49 said: Mmnh Click to expand... msaidie mwenzako
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,299 Reaction score 60,928 Sep 4, 2024 #8 KENZY said: msaidie mwenzako Click to expand... Usikute hata kashasahau kama ameandika uzi hapa
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,772 Reaction score 86,458 Sep 4, 2024 #9 Leejay49 said: Usikute hata kashasahau kama ameandika uzi hapa Click to expand... ๐
kacnia JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 4,026 Reaction score 15,812 Sep 4, 2024 #10 Mcheki huyu jamaa atakusaidiq
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,006 Sep 4, 2024 #11 umekaa siku ngapi bila kula na kuoga ili nijue kama tatizo lako n chronic
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Sep 4, 2024 Thread starter #13 Siku moja Mama Mwana said: umekaa siku ngapi bila kula na kuoga ili nijue kama tatizo lako n chronic Click to expand...
Siku moja Mama Mwana said: umekaa siku ngapi bila kula na kuoga ili nijue kama tatizo lako n chronic Click to expand...
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Sep 4, 2024 Thread starter #14 kacnia said: View attachment 3086418 Mcheki huyu jamaa atakusaidiq Click to expand... Huyu jamaa sikumbuki nilimwona wapi?
kacnia said: View attachment 3086418 Mcheki huyu jamaa atakusaidiq Click to expand... Huyu jamaa sikumbuki nilimwona wapi?
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Sep 4, 2024 Thread starter #15 EMACHA said: Angalia, usije kusahau kama unatafuta mwanasaikolojia! Click to expand... Apana kila nikiingia jf huu uzi utanikumbusha
EMACHA said: Angalia, usije kusahau kama unatafuta mwanasaikolojia! Click to expand... Apana kila nikiingia jf huu uzi utanikumbusha
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,762 Reaction score 830,896 Sep 4, 2024 #16 Utajua wewe said: Habari WanaJF, Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu. Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii. Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga. Natanguliza shukurani zangu za dhati. Jiwa Hassan Click to expand... Hilo ni tatizo la afya ya ubongo nenda hospital
Utajua wewe said: Habari WanaJF, Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu. Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii. Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga. Natanguliza shukurani zangu za dhati. Jiwa Hassan Click to expand... Hilo ni tatizo la afya ya ubongo nenda hospital
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,006 Sep 4, 2024 #17 Utajua wewe said: Siku moja Click to expand... hii chai imepoa sana irudishe tena jikoni
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,356 Sep 4, 2024 #18 Pole sana... Cc: Mahondaw
HOLY BLINDFOLD JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 3,692 Reaction score 6,371 Sep 4, 2024 #19 Kichaa mwenyewe ana acha na kusahau kuoga lakini si Kula
Fortyseven JF-Expert Member Joined Oct 30, 2020 Posts 1,479 Reaction score 2,693 Sep 4, 2024 #20 Utajua wewe said: Habari WanaJF, Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu. Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii. Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga. Natanguliza shukurani zangu za dhati. Jiwa Hassan Click to expand... kama unakumbuka kuwa kuna wakati unasahau ww n mzimq haumwi.......๐๐คฃ๐
Utajua wewe said: Habari WanaJF, Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu. Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii. Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga. Natanguliza shukurani zangu za dhati. Jiwa Hassan Click to expand... kama unakumbuka kuwa kuna wakati unasahau ww n mzimq haumwi.......๐๐คฃ๐