Hahahahah..umemkimbiza dada wawatu kama si mwalim basi atakua nesi nk!Wewe ni mwalimu? Nimeshakujua, tena mumeo mmeachana juzi juzi, hapa kijijini ulikuwa na duka, limeisha.
Hapo sasaSasa mtu atakuoa halafu yeye hayupo huko kijijini hiyo ndoa itakuwa na faida gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya Watanzania 10 basi 9 wana msongo wa mawazo. Usikute waliochangia hapa wengine Wakulima wa mahindi, wengine korosho, Wengime Fao la kujitoa, Wengine inabidi wastaafu huku sheris ya kikokotoo kipya cha mafao ikikaria kupitishwa. Sasa stress zao wanakuja kuzipunguza kwa dada wa watu asiye na hatia.Kejeli za nini wapendwa?