Wanaume mnaotafuta wapenzi humu punguzeni vigezo jamani. Ni vizuri uwe na vigezo vichache watu wakikupm katika kuwasiliana unaweza bahatisha mpenzi utakae mpenda na kuendana na maisha uliyo nayo. Vigezo vingi vitasababisha kuogopa kujaribu bahati yake.