Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 41. Ninaye mtoto mmoja wa kike ana umri wa miaka 10. Mtoto huyo nimemzaa na mke wangu wa ndoa ambaye tulioana miaka 13 iliyopita. Mke wangu anaye mtoto wa kiume ana miaka 25 sasa. Nilimkuta akiwa na mtoto huyo. Wote ninaishi nao nyumba moja, na nawapenda sana. Tatizo ni kwamba mke wangu hashiki mimba nyingine. Tumeishaangaika vya kutosha kwa madaktari wa kawaida na waataalamu wa masuala ya wanawake (Gynoclogists) lakini naona hakuna uwezekano tena. Nimevumilia sana sasa naona nakata tamaa. Umri wa mke wangu ni sawa na wangu. Mimi nahitaji mtoto mwingine japo mmoja, lakini mke wangu hataki nizae nje ya ndoa. Sasa nimeamua nataka nizae nje ya ndoa kwa siri. Uwezo wa kifedha kumtunza mtoto na mama yake upo. Mwanamke yeyote ambaye yuko tayari kufanikisha hilo, naomba tuwasiliane ktk email hii: mrtrusted@hotmail.com. Sifa za mwanamke ninayemtaka ni hizi: Awe na kazi na elimu anglau form six, anaweza akawa na mtoto lakini si zaidi ya mmoja, awe mzuri na mweupe, dini siyo muhimu sana ila mimi ni mkristo, awe na uelewa wa kutosha wa maisha, asiwe na ugonjwa wa aina yoyote, awe mchangamfu, asiwe after money. Niko serious na suala hili.

Unatafuta ngono za bure tu wewe! Mie najitolea kuzaa na wewe ila kwa ivf.
Unatafuta wa kuzaa nae, elimu yake na uzuri wake unahusikaje hapo? Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja ili iweje? Una mpango wa kuhudumia familia yake yote?
Hopeless and stupidy Man, what a shame? Watoto wanaliwa mpaka Uharibu Amani ya Ndoa yako? Mkeo Naye akitafuta mwingine? Uzinzi huo hauna maana wala sababu.
alafu mke wake wa ndoa hataki asa kwanini umkaidi mkeo jamani..............wanaume nyie na sio kwamba mke hazai ashakuzali mmoja na bado angekuzalia sema mipango ya mungu ndio ivo tena sasa ww badala ya kukituliza ndani unataaka ukagawe mbegu nje lol!hayo mambo ya kuwa na watoto kisiri siri mabaya ukifa ghafla itakuwaje? Si mwanzo wa watoto kuoana huu?
Ila nakutakia mafanikio mema........
mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 41. Ninaye mtoto mmoja wa kike ana umri wa miaka 10. Mtoto huyo nimemzaa na mke wangu wa ndoa ambaye tulioana miaka 13 iliyopita. Mke wangu anaye mtoto wa kiume ana miaka 25 sasa. Nilimkuta akiwa na mtoto huyo. Wote ninaishi nao nyumba moja, na nawapenda sana. Tatizo ni kwamba mke wangu hashiki mimba nyingine. Tumeishaangaika vya kutosha kwa madaktari wa kawaida na waataalamu wa masuala ya wanawake (gynoclogists) lakini naona hakuna uwezekano tena. Nimevumilia sana sasa naona nakata tamaa. Umri wa mke wangu ni sawa na wangu. Mimi nahitaji mtoto mwingine japo mmoja, lakini mke wangu hataki nizae nje ya ndoa. Sasa nimeamua nataka nizae nje ya ndoa kwa siri. Uwezo wa kifedha kumtunza mtoto na mama yake upo. Mwanamke yeyote ambaye yuko tayari kufanikisha hilo, naomba tuwasiliane ktk email hii: mrtrusted@hotmail.com. Sifa za mwanamke ninayemtaka ni hizi: Awe na kazi na elimu anglau form six, anaweza akawa na mtoto lakini si zaidi ya mmoja, awe mzuri na mweupe, dini siyo muhimu sana ila mimi ni mkristo, awe na uelewa wa kutosha wa maisha, asiwe na ugonjwa wa aina yoyote, awe mchangamfu, asiwe after money. Niko serious na suala hili.
alafu mke wake wa ndoa hataki asa kwanini umkaidi mkeo jamani..............wanaume nyie na sio kwamba mke hazai ashakuzali mmoja na bado angekuzalia sema mipango ya mungu ndio ivo tena sasa ww badala ya kukituliza ndani unataaka ukagawe mbegu nje lol!
HIVI UKIWA NA MIKA SABA BILA HATA MTOTO. NA UKAGUNDUA SHIDA IPO KWA MWANAMKE. WEWE KAMA GREAT THINKER UTASHAURI MWANAUME ACHUKUE HATUA GANI???. tUSIONGEE TU KUFURAHISHA JAMIII. JE MUME AKUBALI KUISHI MAISHA YAKE YOTE BILA MTOTO???
Hopeless and stupidy Man, what a shame? Watoto wanaliwa mpaka Uharibu Amani ya Ndoa yako? Mkeo Naye akitafuta mwingine? Uzinzi huo hauna maana wala sababu.