mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,258
- 1,541
Muanzishe mahusiano akuzalie bila kumuoa?? Kisa hivyo visenti vyako vya mtaji wa ujasiriamali?Habari mm ni kijana mwenye miaka 27 naish dar natafuta mwanamke mjasiriamali nataka nianzishe nae mahusiano then anizalie mtoto na nimesema awe mjasiriamal sababu itambid ajiajir mwenyewe Ila mtaji Tampa mwenye Yuko tayar anicheki vigezo awe mweupe na mwenye Shep
Ni sereaus inshu Sio utani please sapot yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukijichubua si unakuwa mweupe?? Yeye anataka mweupe na shepumi najichubua vipi ninayo nafasi mzee?
Muanzishe mahusiano akuzalie bila kumuoa?? Kisa hivyo visenti vyako vya mtaji wa ujasiriamali?
Mama kurareee umesikia hiyo?? Njoo huku unatafutwa.
wengine wanataka weupe wa asili.Kwani ukijichubua si unakuwa mweupe?? Yeye anataka mweupe na shepu
Mbona mnatagiana Sana wew na huyo Smart 911
Mbona mnatagiana Sana wew na huyo Smart 911
π π π π π πInawezekana ni account mbili tofauti zinazoendeshwa na mtu mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mtaji utanipa tunavyoanza mahusiano au mpk nibebe mimba??
Sent from my iPhone using JamiiForums