Natafuta mwanamke wa kike baadaye Awe mke wangu.

Natafuta mwanamke wa kike baadaye Awe mke wangu.

Habari natafuta rafiki wa kike ili tukifahamiana tufunge pingu za maisha. Mwenye umri wa miaka 27-30,awe anatokea mikoa ifuatayo Tabora, Kigoma, rukwa ama Mbeya. Kwa alietayari tuwasiliane pm . Kwa sasa naishi Dar. Umri wangu ni miaka 31'dini mkristu,
Aseee! Umejiunga jana tu mkuu!!! Au hilo ndo dhumuni la kujiunga jf?[emoji4] [emoji4] [emoji1]
 
Mwanamke kama Sister P ndo mwanamke wa kiume! Anaweza kabisa kuishi kinyumba na maduu kibao
 
Habari natafuta rafiki wa kike ili tukifahamiana tufunge pingu za maisha. Mwenye umri wa miaka 27-30,awe anatokea mikoa ifuatayo Tabora, Kigoma, rukwa ama Mbeya. Kwa alietayari tuwasiliane pm . Kwa sasa naishi Dar. Umri wangu ni miaka 31'dini mkristu,
Badala ya kutafuta mwanamke wa kike,nakushauri tafuta mwanamke wa kiume Mkuu!!!
 
Tembelea nyumba za ibada,mitaani,vyuoni utawapata wa kila namna na uchague yupi umchukue na yupi umuache
 
Kwa sasa unaishi Dar ila lazima kwenu itakuwa kolomije usikatae !! Mwanamke wa kike ndio jinsia gani hiyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom