- Thread starter
- #21
daa hicho kidudu cha nini mi nataka muke yenye nnya ya hatarisubiri kidogoooo.
daa hicho kidudu cha nini mi nataka muke yenye nnya ya hatarisubiri kidogoooo.
twende pm kama unayo nnyaweka picha nikuone
Nta balance equation kadri su zinapo songaTulivyokuwa Form one tulifundushwa mambo ya CHEMICAL CHANGE na PHYSICAL CHANGE ambapo kuhusu unene ni physical change ambapo mtu linaweza kalio linaweza likaongezeka pia likapungua, kwa mtindo huu likipungua sijui itakuaje sasa au atamwacha?
Mchonge wako.
Mods wangefanya busara sana hii love connect watu wawe wanalipia
mambo mengine baadaeee...Kigezo ni makalio tu??? No umri,no dini....
Dada kama unakidhi vigezo changamkia fulsa.....
Haya bwana, kiswahili hicho...
Ingekuwa vyema kama ungenirekebisha ili siku nyingine nisirudie kosa...
Nashukuru sana ndugu yangu....tupo pamoja......Kaka umerekebishwa sema hukuona tu, rejea alama red
- neno fulsa = fursa
Vizuri kama issue ya ku-balance equation itazingatiwaNta balance equation kadri su zinapo songa
Naamini kwa mfalme bado hawajaisha